Napokea Kwako

Maisha magumu sana nimepitia
Nikajaribu tafuta msaada Sikupata
Nikaendea Mwanadamu mwisho akanidharau
Kumbe Msaada wa mwanadamu unatoka kwa Mungu
Nilijua wapo wenye haki yakubarikiwa tuu
Kumbe baraka nihaki ya kila mmoja
Nimebadili wazo langu namwelekea Mungu
Kwake msaada wangu unapatikana
Msaada wa mwanadamu ni wa muda mfupi
Nami zamu yangu kubarikiwa weeee

Wakati ni uu huu waku barikiwa
Zamu ni yangu sasa kupokea
Nimechoshwa na shida za dunia
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako
Napokea Kwako Baba Napokea kwako
Napokea Kwako Yesu Napokea Kwako
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako

(Instrumentals)

Nimeamua Kwenda Zaidi Na Zaidi
Nimejipanga hadi nione matunda yake

Yale Mungu Amewekeza Ndani Yangu
Najua Mungu yuko Kazini Kunikamilisha
Akisema nimebarikiwa nimebarikiwa tuu
Hataukipinga wewe leo mimi nimebarikiwa tuu

Mlima gani kuu sana Usioung'owa (Usioung'owa ee)
Jaribu gani gumu sama usiloweza (Usiloweza Mungu Wee)
Chozi gani zito kwako usilolifuta (Mizito Mizito)
Maombi Gani Kubwa Sana Usilolijibu

Wakati ni uu huu waku barikiwa
Zamu ni yangu sasa kupokea
Nimechoshwa na shida za dunia
Napokea Kwako (Baraka Yangu) Baba Napokea Kwako
Napokea Kwako(Afya Yangu) Baba Napokea kwako
Napokea Kwako (Utajiri wangu) Yesu Napokea Kwako
Napokea Kwako (Elimu Yangu) Baba Napokea Kwako
Wakati ni uu huu waku barikiwa
Zamu ni yangu sasa kupokea
Nimechoshwa na shida za dunia
Napokea Kwako (Napokea Kwako) Baba Napokea Kwako
Napokea Kwako (Kazi Yangu) Baba Napokea kwako
Napokea Kwako (Na Watoto Wangu) Yesu Napokea Kwako
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako

Napokea Kwako Baba Napokea Kwako
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako

Napokea Kwako Yesu Napokea Kwako
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako

Napokea Kwako Baba Napokea Kwako
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako

Napokea Kwako Yesu Napokea Kwako



Credits
Writer(s): Janet Achieng Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link