Gundu

Wasafi...
Mhh mhh mh, eh
Naona maajabu kinanizonga kizaa zaa
Kila mahesabu ninayopiga yanakataa
Nahisi mababu mizimu yao imechachama
Au sina thawabu Mola nioyeshe nyota ya Jah Eeeeh
Kulia nimelia nikamaliza leso, nimekosa kipenda roho
Nimekaa subiria huenda akaja kesho
Nilipododosa kote ngoma droo
Mwenye mapenzi atokee anitetele
Joto pepe anipepelee
Niwe mtoto tetele ohoo tetele
Anidekee deke dekelee

Heee mi niepuke gundu (oooh gundu)
Penzi linanichachia gundu (oooh gundu)
Nuksi imenisishukia gundu (oooh gundu)
Penzi chachia gundu (oooh gundu)
Nuksi imenisishukia gundu

Ama sina bahati jini gani kanivaa
Aso na jema kwangu
Ninaye mtaka simpati vihoja tu na kharaha!
Yaani vangu vangu, mie lyee
Nahisi nalala na gundu najisonya sonya!
Penzi sasa bila udi ni malonya lonya!
Nishapangwa kwa nakundi nikabonywa bonywa
Licha ya wangu ufundi nikapokonywa mi nataka
Mwenye mapenzi atokee (anitetele)
Joto pepe (anipepelee)
Niwe mtoto tetele (oh tetele)
Anidekee deke dekelee

Heee mi niepuke gundu (oooh gundu)
Penzi linanichachia gundu (oooh gundu)
Nuksi imenisishukia gundu (oooh gundu)
Penzi chachia gundu (oooh gundu)
Nuksi imenishukia gundu

Iyo layzer



Credits
Writer(s): Siraju Amani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link