Sana Sana

Nimechoka...
Sana sana me ...
sanasana me huwanga Yule dem ...
yule dem...
Nilipanda juu bila shaka Si walisema nikihama nitablunder I can do it
on my own am a murder Everything that I've been building from the
startup Eeish, but I brush it off na mswaki Mi nasaka hizo doh za
mlami Ndo niwachane na stori za rap Nijenge nyumba kwa bahari
nikipush mahammers Still pull up in the scene ka kafiri The love put
me up here si majini So am just trynna make this work mara mbili
Maybe in this next try I'mma make a killing But anyway,
its God unchanged New flow that cup's gonna leave a stain And imma
put to everybody that ain't the same And sometimes I'mma change Hope
you hear me saying that Sana sana sana mi huwanga Dem wa masplit na
maganja Sana sana sana mi hupenda Kucheza hiphop ama ragga Sana sana
sana mi huwanga Chini ya maji hutanipata Sana sana keep it on a
regular(yup) Me, I keep it on the regular Sana sana mi siko ukinisaka
mchana Usiku sacco jaba njugu kuchangamkanga
Ndio msupa akijipa nachapishanga Anabaki akiwika "
Scar usikae sana" Maisha East ni noma huwezi survive hama Lakini
atleast mi naona ya leo si ka ya jana Ju tuna risk wakora ka mabeast
kwa corner Wanakufrisk ni kama wanakudai bana Kila design imeweza na
washatii We mwenyewe huwezi cheza unataka team Mi ndio nilitumaga
redsan kwa Sapee Ka unanitafuta we tembeza mtaa za East So let it be
known I came with the family Rende ni wrong we are nothing to play
with Ndani ya zone mashash malawi Cz am bad to the bone You can't
compare me, yeah Sana sana sana mi huwanga Nigga wa masplit na
maganja Sana sana sana mi hupenda Dem wa mahips na mahaga Sana sana
sana mi huwanga Jiji na bado hutanipata Sana sana on the regular Me,
I keep it on the regular Sana sana sana mi ni yule dem I keep it low,
sipendagi fame But me napenda cash na ma dollar Na hawa machali
player player, Maradona huh Na sana sana sana mi ni yule guy Mwenye
unadai toka East, mi sikudanganyi Niko na grudge na mabeast siwezi
kujihide Juu ya kuvuta gwai kwenye streets,
siwezi ku-deny Basi twende dutch 50-50 Sibongi story za ma bill kama
Blinky Yaani mi namada eight tukispit eight Ngoma itashika fans
watakula bait Washakubali ndio maana wamejitoa race Si ni wenyeji
hawa mafala ni ma tourist Mzee mzima
sikimbizwi Lazima nijitaje ndo verse iishe fiti Scar!
Sana sana sana mi huwanga Dem wa masplit na maganja Sana sana sana mi
hupenda Dem wa mahips na mahaga Sana sana sana mi huwanga Chini ya
maji hutanipata Sana sana keep it on a
regular(yup) Me, I keep it on the regular



Credits
Writer(s): David Munga Ramadhan
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link