Pombe Sigara

Oh-ooh, pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'ana
Lakini, hawa wasichana
Vile nawapenda, ni kama laana
Ooh, Sol Generation
I'm tha storyteller, aye, aye, aye
Ooh lawd

Naskia walevi huota na beer
Lakini kuna siri nitawaibia leo
See I'm not addicted to alcohol
I'm not a victim, not at all
Yalimpata Samson, yakampata Solomon
Situation hugeuka tricky
Kila shimo napanda miti
Contribution kwa team mafisi, Karura
Eeh, hii situation hugeuka tricky
Kwa hivyo...
Msiniweke kamba kwa shingo

Pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
Lakini, hawa wasichana, vile nawapenda
Ni kama laana, ah

Someone please call 911
Tell them the storyteller has gone down
Ati alivunja shingo akalemewa
Akatoa fimbo nje ya ndoa
Na hivyo ndivyo alijichomea

Ehh hii situation imekuwa tricky
Kuna shimo alipanda miti
Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela
Eeh hii situation hugeuka tricky
Kwa hivyo...
Msiniweke kamba kwa shingo

Pombe sigara, ah
Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
Lakini, hawa wasichana, vile nawapenda
Ni kama laana, ah
Ooh yeah, yeah

Pombe sigara, ah
Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
Lakini hawa wasichana, maze, vile nawapenda
Ni kama laana, ah
(Ooh yeah, yeah, yeah, yeah)



Credits
Writer(s): Nviiri The Storyteller
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link