Kila Siku
Yeaaa
Kila Siku me namwomba tu Mungu anizidishie nguvu ya kusaka dough
Told ma Mama that I gotta go get it
And I gotta get it for me and my bro
Ndo maana sionekani
Nigga be grinding
I be always on the road
Mama ni kanisani
Yupo anasali
She be praying for my soul
Kila siku me nasaka madili
Kila siku mishe mishe za mjini
Nabidi nisake hizi pesa mwenyewe cause Baba hayupo since I was a kid
Ila sio kesi me hainipi stress nahustle niweke madini shingoni
Nahustle niweke madini mkononi
Macheni kibao enzi za mkoloni
Wanangu wote ni lazima tuball
Kununua pamba kule kwenye mall
Madem wa zamani they starting to call
Sina Muda sasa I gotta go
Watu wengi walisema No
Watu wengi waliclose the door
Nikamwomba tu Mungu I prayed to the Lord
Take a look at me now now a nigga be strong yeaaa
Kila siku kila siku me nasaka money
I be working on my life siwezi leta utani
Wanataka nifeli
I will never stop ndo kwanza nipo shelli
Mahater wanapiga kelele
Siwasikii nachosikia ni mapene
Kila Siku me namwomba tu Mungu anizidishie nguvu za kusaka dough
Told ma Mama that I gotta go get it
And I gotta get it for me and my bro
Ndo maana sionekani
Nigga be grinding
I be always on the road
Mama ni kanisani
Yupo anasali
She be praying for my soul
Yea
Ndoto nyingi akilini kazi ipo kuzitoa
Acha basi niwe mkweli nawazaga ka ntatoboa
Kama machozi nimeshaloa
Mawazo kibao ntaachaje kuchoma
Mama kasema kijana soma
Achana na mic ila kwangu ni kosa yea
Mimi na mziki ni ndoa
Waschana kwangu wanaboa yea
Kila siku
Saa saba usiku
Nakesha na siwezi kuchoka
Kila siku
Kila saa
Me nawaza money on my mind
Sina Muda cant waste no time
Fuck tanesco my chain gon shine
Told my mama dat I gotta go get it
Akili nyingi so siwezi kufeli
Magoti chini young nigga be praying
Same team ain't nobody be changing
Cause nipo na wana
Toka zamani kitambo kabla ya macho kuona hizi scandal
And we aint stopping for nothing
Kila Siku me namwomba tu Mungu anizidishie nguvu za kusaka dough
Told ma Mama dat I gotta go get it
And I gotta get it for me and my bro
Ndo maana sionekani
Nigga be grinding
I be always on the road
Mama ni kanisani
Yupo anasali
She be praying for my soul
Kila Siku me namwomba tu Mungu anizidishie nguvu ya kusaka dough
Told ma Mama that I gotta go get it
And I gotta get it for me and my bro
Ndo maana sionekani
Nigga be grinding
I be always on the road
Mama ni kanisani
Yupo anasali
She be praying for my soul
Kila siku me nasaka madili
Kila siku mishe mishe za mjini
Nabidi nisake hizi pesa mwenyewe cause Baba hayupo since I was a kid
Ila sio kesi me hainipi stress nahustle niweke madini shingoni
Nahustle niweke madini mkononi
Macheni kibao enzi za mkoloni
Wanangu wote ni lazima tuball
Kununua pamba kule kwenye mall
Madem wa zamani they starting to call
Sina Muda sasa I gotta go
Watu wengi walisema No
Watu wengi waliclose the door
Nikamwomba tu Mungu I prayed to the Lord
Take a look at me now now a nigga be strong yeaaa
Kila siku kila siku me nasaka money
I be working on my life siwezi leta utani
Wanataka nifeli
I will never stop ndo kwanza nipo shelli
Mahater wanapiga kelele
Siwasikii nachosikia ni mapene
Kila Siku me namwomba tu Mungu anizidishie nguvu za kusaka dough
Told ma Mama that I gotta go get it
And I gotta get it for me and my bro
Ndo maana sionekani
Nigga be grinding
I be always on the road
Mama ni kanisani
Yupo anasali
She be praying for my soul
Yea
Ndoto nyingi akilini kazi ipo kuzitoa
Acha basi niwe mkweli nawazaga ka ntatoboa
Kama machozi nimeshaloa
Mawazo kibao ntaachaje kuchoma
Mama kasema kijana soma
Achana na mic ila kwangu ni kosa yea
Mimi na mziki ni ndoa
Waschana kwangu wanaboa yea
Kila siku
Saa saba usiku
Nakesha na siwezi kuchoka
Kila siku
Kila saa
Me nawaza money on my mind
Sina Muda cant waste no time
Fuck tanesco my chain gon shine
Told my mama dat I gotta go get it
Akili nyingi so siwezi kufeli
Magoti chini young nigga be praying
Same team ain't nobody be changing
Cause nipo na wana
Toka zamani kitambo kabla ya macho kuona hizi scandal
And we aint stopping for nothing
Kila Siku me namwomba tu Mungu anizidishie nguvu za kusaka dough
Told ma Mama dat I gotta go get it
And I gotta get it for me and my bro
Ndo maana sionekani
Nigga be grinding
I be always on the road
Mama ni kanisani
Yupo anasali
She be praying for my soul
Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.