Nime Kumiss Sana

Kama kukupenda meenzangu, sitochoka
Sura yako machoni pangu, ahitotoka
Najiuliza!, ukowapi mama
Sauti yako!, uwayaniita ndotoni
Nime kumiss!, naomba rudi mama
Ukowapi!, nime kumiss sana
Sauti yako, uwayaniita ndotoni
Sura yako, aitotoka machoni'iih

Juwasiwanadamu, twafanya kosa
Nakama kunakosa nilokutendea, naomba unisameh
Najiisi!, nimebadilika
Naimani!, yatajibowa yenyewe
Ukowapi!, nime kumiss sana
Sauti yako, uwayaniita ndotoni
Ukowapi!, nime kumiss sana
Sauti yako, uwayaniita ndotoni

Oh'oh yeh, ukowapi'hih
Oh'oh yeh, nime kumiss sana
Oh'oh yeh, ukowapi'hih
Oh'oh yeh, nime kumiss sana

I swear girl your the Finest
Niki kuwa na we girl I feel lke I'm all safe.
First time I promise to never leave you alonely.
Alakini by mistake I broke that promise.
I did you nonsense, Treat you unfair.
I swear this baby, I'm treat you well.
Put my money There, and love everyday.
I say give me one more chance I'll never mess again.

Ukowapi!, nime kumiss sana
Sauti yako, uwayaniita ndotoni
Ukowapi!, nime kumiss sana
Sauti yako, uwayaniita ndotoni

(Sura yako)
(Sauti yako)
(Sura yako)
(Sauti yako)



Credits
Writer(s): Sadiki Asumani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link