Tako Tu

Menace (Ule bazeng')
Good at being bad (Si unajua)
(Ooh my God it's Dennis on the Beat)
Good at being bad, bad at being good
(Bad at being good)
They call me Menace (Eey, eey)
Menace Himself (Cheki)

Tako tu ndio si hukembaga
Na ka kadem kameweza kana tekangwa (Tekangwa)
Na mi hu, penda wale hunipendaga
Ni kwenye beat ya Denno ninawabebanga

Cheza na thutha yaani ki tako ii bana
Pendaga ku cheki izo tako ii sana
Fikaga dundaa ukule tako
Na izo matiti matunda mabigi tako itana
Cheza na thutha yaani ki tako ii bana
Pendaga ku cheki izo tako ii sana
Fikaga dundaa ukule tako
Na izo matiti matunda mabigi tako itana

Pongi akilini ju nakuwaga pervert
Sehemu za mwili manze ziunibamba
Sinaga ufisi napendaga paka
Na ni vita ya miti ndio napigananga (Cheki)
Akate waist, reverse wine a pause
Ziachane aki bend kwenye knees and toes
Nimbeng, iki ganda naachia kibro
Sekete huwaga lazima alafu baadae doz

Cheza na thutha yaani ki tako ii bana
Pendaga ku cheki izo tako ii sana
Fikaga dundaa ukule tako
Na izo matiti matunda mabigi tako itana
Cheza na thutha yaani ki tako ii bana
Pendaga ku cheki izo tako ii sana
Fikaga dundaa ukule tako
Na izo matiti matunda mabigi tako itana

Si ati nachocha, najua ngoma ni noma
Mistari za Menace hukujanga zikiwagonga
Ndio magizani unipate jabba na gomba
Mchana mtaani, ju ngware mi niko mboka (Jing jong)
Ki wikendi ninaye Njeri na Atoti
Natakaga wawili ju mmoja hanitoshi
Sababu najua hii ujana ni moshi
Ile kitu siezi du ni ku ondokea pongi

Cheza na thutha yaani ki tako ii bana
Pendaga ku cheki izo tako ii sana
Fikaga dundaa ukule tako
Na izo matiti matunda mabigi tako itana
Cheza na thutha yaani ki tako ii bana
Pendaga ku cheki izo tako ii sana
Fikaga dundaa ukule tako
Na izo matiti matunda mabigi tako itana

Pongi akilini ju nakuwaga pervert
Sehemu za mwili manze ziunibamba
Sinaga ufisi napendaga paka
Na ni vita ya miti ndio napigananga (Piga sana)



Credits
Writer(s): Batrium Muruka
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link