One Million Love

This is Barnaba Boy Classic.
If loving you is a mistake
You are my favourite mistake
I love you boo boo
And this is for you

Usitafute mganga
Kwa maradhi ulo beba
Zidisha mahaba tu mmmh
Mara saba ulikonipenda
Iwe zaidi ya jana

Binafsi nakupenda

Wewe mmoja zaidi ya mamilioni
Mbele ya macho tena sioni
Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu
Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu

Wewe mmoja zaidi ya mamilioni
Mbele ya macho tena sioni
Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu
Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu

Ama utangaziwe nakupenda
Pasi na wewe mi sio mzima
Nakupenda mpaka kiama

Habari zitangazwe
Pasi na wewe sijalala
Usingizi waniruka
Aaii nakupenda

Damu yako ichanganywe na yangu
Kisha ipimwe
Jibu litakuja lile lile
Sababu twapendana

Tazama macho yako
Na yangu yakitazamana
Umejaa kwenye roho yangu
Ooh my love mama

Kuna muda napata
Goosebumps Ukiniita tu
Vipi tukibaki wawili, oooh

I can't control myself
When I am with you beiby
When am with you sugar, aiii

Wewe mmoja zaidi ya mamilioni
Mbele ya macho tena sioni
Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu
Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu

Wewe mmoja zaidi ya mamilioni
Mbele ya macho tena sioni
Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu
Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu

Maneno na shida
Tulizopitia leo iyee
Ningelikuwa sina upendo
Tusingeifikia leo eh eh

My love eh
I call you my hunny bunny (Yesa)
My sugar baby ooh
I call you my hunny baby

(My sugar baby boo boo, boo boo boo)

Wewe mmoja zaidi ya mamilioni
Mbele ya macho tena sioni
Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu
Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu

Wewe mmoja zaidi ya mamilioni
Mbele ya macho tena sioni
Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu
Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu

Credits
Writer(s): Barnaba Elias, Elias Barnabas
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link