Niache
Niache
Brother Naomba niache "Niache"
Niache "Niache"
Brother Naomba niache "Niache"
"Braxy on"
Niache "Niache"
Brother Naomba niache "Niache"
Niache "Niache"
Aisee Yeah "Niache"
Pisi kali imenielewa ukaniona nimeondoka nayo
Ila hujui kilichotokea brother Niache, "Niache"
Sio lazima usimulie kama uliona inatosha
Usinichoshe sinto kuchosha brother niache, "Niache"
Sasa ndio unifokee,
Kisa umepiga simu alafu sipokei
Au umeweka appointment alafu nikadelay
Na nikiwa busy je? niache yangu nifate yako bro "Niache"
Hawajui Nilivyopania kwenye Njia mimi nina Nia
Sasa kwanini wananizuia Alafu Waniache "Niache"
Nikiwa less Mtaani, naangaikia msosi mezani
Usiniingile nitakukwaza brother Niache
Haters wanasema ninajidai
Kila ninapotimba pande zao hawafurahi
My feelings na hizi shauzi zipo high
Kwa ninavyowasomba somba wanatamani Mnyamwezi nidie
Nidie nidie wanatamani mnyamwezi nidie
Nidie? wakati ninadai na na nazidi kuroll the dice
"Niache" "Niache"
"Niache" "Niache"
"Niache" "Niache"
"Niache" "Niache"
"Niache" "Niache"
"Niache" "Niache"
"Niache" "Niache"
"Niache" "Niache"
Aise Niaje, Aise Niaje
Ona muna maneno yanachoma Zaidi ya miale
Aisee mniache, aise mniache
Nishakanyaga mafuta speed zaidi ya ferari
Wala hamunipati, Bisha munifate
Wanaonilinda wote wanaijua Karate
Mpaka mnipate, brother mjipange
Tagi ninalo Serikali kila Upande
Mguu usawa baada ya mguu upande
Mpira ninao siuachi kama Zidane
Wanangu wanavibegi Vina Vitu Fulani
Na Wote wanatusua aisee labda muwabanie

Ahhh!
"Chimo on the Track"

Credits
Writer(s): Abdul Mwamia
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.