Let Go

I don't wanna let go
Of yo love yo love
You and I
Babygirl yo something rare
You the only one I care for

I don't wanna let go
Of yo love yo love
Nakutaka wewe tuuuu
Mh hmmm

Baby grab a cup of coffee
I miss when we used to chat
You and I
You and I
I like the way you shake
What yo mama gave you
Don't be shy mama
Ahaaaahaaahaa

Soundtone yako madonna Mhhhh
Katundutundu Kama cantona Mhhh
Wewe UA langu
Mama

Kama Chanda na Pete tugandane
Nachotaka milele kuwa nawe

I don't wanna let go
Of yo love yo love
You and I
Babygirl yo something rare
You the only one I care for

I don't wanna let go
Of yo love yo love
Nakutaka wewe tuuuu

Wacha wacha waseme Waseme, waseme
Watasema mchana we, na usiku watalala
Wacha wacha waseme Waseme, waseme
Watasema mchana we, na usiku watalala

Assalaleh walai
Nakuzimia Mtoto mtoto
Mtima wangu mama
Unakimbia Moto moto

Kila napokuona nafsi yangu tulia
Tena najidai nafurai najivunia

Sa ninune kwanini
Wakati we wangu mimi
Waambie hatuachani
Wenye vyao visirani

Sio siri
We ni mzuri
Mwenye upendo wa dhati ni wewe

I don't wanna let go
Of yo love yo love
You and I
Babygirl yo something rare
You the only one I care for

I don't wanna let go
Of yo love yo love
Nakutaka wewe tuuuu

Wacha wacha waseme Waseme, waseme
Watasema mchana we, na usiku watalala
Wacha wacha waseme Waseme, waseme
Watasema mchana we, na usiku watalala



Credits
Writer(s): Joseph Mchome
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link