Nashangaa

Nitunze kama moto na jicho lako maa
Sitokufanya vii utamu ukitafuna
Iweke mdomoni kila ukisema
Ghetto liwe VIP lipambe kwa mishumaa
Ongeza upole wako bae mama
Usiniudhi usije niacha mazima mama
Mwenzako chizi wa mapenzi
Usinibughudhi ukaja kupata lawama bwana
Nipe nyama ya kasa
Ukikosa papa samaki nipatie ngisi
Saa ya nini limbwata
Na nishaapa wengine hawana nafasi
Umenisafisha nilipochafuka
Walahi sikuachi
Mi ni kuku wako ndani nitafika
Ya nini manati?

Hivi mpenzi umenipa nini? (Nashangaa)
Na kama dawa hio dawa gani? (Nashangaa)
Mbona kupenda kwangu sio kawaida (Nashangaa)
Unanipa furaha nasahau shida (Nashangaa)

Mwanamke sura nidhamu shule
Wasione naringa siringi bure
Mi mgonjwa matibabu bure
We ndo mganga wangu njoo tupige ndeni
Alama, alama
Chunga tusije vunja kitanda
Na dada, na banda
Mvishe suti Martin Kadinda
Ongeza upole wako bae mama
Usiniudhi usije niacha mazima mama
Mwenzako chizi wa mapenzi
Usinibughudhi ukaja kupata lawama bwana
Umenisafisha nilipochafuka
Walahi sikuachi
Mi ni kuku wako ndani nitafika
Ya nini manati?

Hivi mpenzi umenipa nini? (Nashangaa)
Na kama dawa hio dawa gani? (Nashangaa)
Mbona kupenda kwangu sio kawaida (Nashangaa)
Unanipa furaha nasahau shida (Nashangaa)



Credits
Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link