Sweet Darling (feat. Sat-B)

Ah, speaking from my heart eh
Baby can I tell you my mind eeh?
Mmmh you know you own my heart eh
Baby captivated my mind eh

Aah, we ndiye jua langu
Mchana wangu nasubiria
We kivuli changu
Popote nawe natembea

We baraka yangu
Ndo siku zote niombea
Shika mkono wangu
Safari ndefu inangojea

Nipende nikupende
Tupendane my love
Nibebe nikubebe
Tubebane

Sweet darling aah
Darling, sent from heaven
Sweet darling
Mimi ndo chada we pete yangu mama
Darling, sent from heaven

Ni wewe muucha wanje humurikila

Ona tumekutana hadi tukafaana
Tukapendana hadi tukafanana
Mimi kukupenda ndio yangu taswira
Sweetie sweetie basi tuwe na subira

Malezi yako bora, pia yananifaidi
Yananifanya kujihisi mwenye Bahati
Nakupenda saaana unajua darling
Mimi na wewe kam pete na kidole

Sweet darling, darling
Sweet darling, darling



Credits
Writer(s): Kelvin Kioko Bahati
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link