Neema

Na usifiwe
Utukufu wa neema yake
Ambayo ametuneemesha
Atukuzwe Mungu
Baba wa Bwana wetu
Yesu Kristo
Alietubariki baraka zote

Katika yeye huyo
Kwa damu yake
Tuna ukombozi wetu
Masamaha ya dhambi
Sawa sawa na neema yake
Katika yeye huyo
Kwa damu yake
Tuna ukombozi wetu
Masamaha ya dhambi
Kwa wingi wa neema yake

Neema
Ni kwa neema
Neema
Ni kwa neema

Nimefanywa mrithi
Na kuchaguliwa
Sawa sawa na kusudi lake yee
Katika huyo nipate kua
Sifa ya utukufu wake
Yaani juu sana
Kuliko ufalme wote
Na mamlaka
Na nguvu
Na usultani
Higher yaya ya yayaa
Yaani juu sana
Kuliko ufalme wote
Na mamlaka
Na nguvu
Na usultani
Higher yaya high yaai high

Katika yeye huyo
Kwa damu yake
Tuna ukombozi wetu
Masamaha ya dhambi
Sawa sawa na neema yake
Katika yeye huyo
Kwa damu yake
Tuna ukombozi wetu
Masamaha ya dhambi
Kwa wingi wa neema yake

Neema
Ni kwa neema
Neema
Ni kwa neema

Neema
Ni kwa neema
Neema
Ni kwa neema

Neema
Ni kwa neema

Ni kwa neema



Credits
Writer(s): Kevin Kajege
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link