Jiongeleshe

Femi I saw you pale IG aki si unakaa fiti
shiku Kim Mimi nani bila wee hali ya mwiki
kasarani na... kidogo si ndo twakarun
(ricco beats mr 8oA)
si tafathali toka east ndo nilirise kama sun
sai ni wee matunda ya kazi unaenjoy
cheza kicupid nishikanishe na arrow bwoy
shiku me sidate celebs ngumu nijipate
hapa natafta pesa na sitafti heartbreak
Femi mafan maboy watapenda iyo repoti
lazima watakuchapa na mameme noti noti
shiku nitareply na emoji si you know me
ukicheki jokes zao wanahisi wanajoti
Femi ulisquash beef na kina njeri na noti
shiku swali muhimu ni ka nimebuy ploti
na gari mauano kama sir name ya flosin
ivo Femi akuna time ya kiki na mikosi

jiongeleshe jiongeleshe jiongeleshe jiongeleshe
jiite kamkutano jiongeleshe
jiongeleshe jibongeshe jiongeleshe jibongeshe
jiite kamkutano jiongeleshe (jibongeshe)
jibongeshe jibongeshe jibongeshe jibongeshe
jiite kamkutano jibongeshe
jibongeshe jibongeshe jiite kamkutano jibongeshe

Femi 255 wanakupenda ni ka wewe wao
shiku ujui kwan nabii akubaliki kwao
hata akibadili maji tuheni ama kibao
ukuskiza alivo sema ule masauti kwa hao
Femi kollabo Kenya ziko pale bongo vipi?
uku wee queen tumeconfess ka rossa ree
shiku rossary ya nin na me si mkatoliki
Ngoma yngu na Roma ndo itasho stamina fiti
me ndo naamua hairstyle ya vichwa vyaa habari
na sijaaamua spare time nitatumia na nani
Mimi mama Yao kabla sijakua mzazi
mtu akisema najituma haimanishi dukani
Femi before you go kuna swali moja imebaki
rumor ni utakua rapper wa kwanza wasafi
Femi ivi vipindi lakini mnatoa wapy?
kaka empire lifesense iskize kwa remmy martin

jiongeleshe jiongeleshe jiongeleshe jiongeleshe
jiite kamkutano jiongeleshe
jiongeleshe jibongeshe jiongeleshe jibongeshe
jiite kamkutano jiongeleshe(jibongeshe)
jibongeshe jibongeshe jibongeshe jibongeshe
jiite kamkutano jibongeshe
jibongeshe jibongeshe jiite kamkutano jibongeshe

jiongeleshe (leleeshee) jiongeleshe (leleshe)
jiite kamkutano(kamkutano) jiongeleshe
(leleeshee)
jiongeleshe (leleeshee) jiongeleshe (leleshe)
jiite kamkutano (kamkutano) jiongeleshe (leleeshee)
jibongeshe jibongengesheee jibongeshe jibongengeshesheeee
jiite kamkutano(kamkutano) jibongeshe jibongengesheeeee
jibongeshe jibongengesheeee jibongeshe jibongengesheee
jiite kamkutano (kamkutano) jibongesheeeee



Credits
Writer(s): Wanjiku Kimani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link