NIKWAMBIE Accoustic

Naah naaah,,,,naah naah
(Mabudah bway)
Mashallah nimekupata
Unaenifaa wewe
Nitakulinda na
Macho sitapepesa kule
Only you my buu
Niko tayari kukulipia ushuru
For you my buu
Nathubutu kukuita nuru(wewee)
Mama come show me love
Mama come gime Love (oooh ooooh)
My baby mm ndio kikulacho
Niamini amini mi ni wako (ooooh ooooh)
Yaani acha nikwambie tu
Baby me i love yah
Na ninataka usikie tu
We pekeyako ndio unanikosha

Naaaaaa aaaaa aaaaaa aaaaaaaaaa
I wanna love
Nikilala nikiamka nikuone nisikukose (nikukose)
(oyeeee oohh)
Naaaaa aaaaaa aaaaa aaaaaa aaaaaah
You the one
Million mwingine mi sioni sitaki nikukosme

Slide yo body
Your ma melody,Kwangu raha kuwa nawe
Nikipandwa midadi, You hold me tight
Leo party ya mimi nawe

Am your king to your side
Your ma queen to ma life
You know how to control my mind
I drive to yo body, you gimme license
I swear i go die to yo love baby oooh(baby oo eeeh)
Kwa dhati nshapenda we nipe skio(skio skioo eeeh)
Yaani acha nikwambie tu,,,baby me i love yaah
Na ninataka nikwambiee tu,,we peke yako ndo unanikoshaa

Naaaaaa aaaaa aaaaaa aaaaaaaaaa
I wanna love
Nikilala nikiamka nikuone nisikukose (nikukose)
(oyeeee oohh)
Naaaaa aaaaaa aaaaa aaaaaa aaaaaah
You the one
Million mwingine mi sioni sitaki nikukosme



Credits
Writer(s): Mabudah Bway
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link