BABA INUKA - Live

Baba Inuka, Tawala, Simba wa yudah, Tawala, mfalme wa sayuni, tawala
Hausinzii wala haulali, ewe mlinzi wangu
Umenizunguka pande zote, ewe Mungu Wangu
Umenihifadhi, Katika uwepo wako
Nakutazama Jehovah, Msaada wangu watoka kwako
Tumaini langu, liko kwako, Kwa imani sitingiziki
Umetawala maishani mwangu, oooh baba
outro (till fade)
Simba wa yudah, tawala, mfalme wa zayuni, tawala



Credits
Writer(s): Evelyn Wanjiru
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link