MUNGU MKUU - Live

Yaweeeh
Eee iyee iyeee
Unabaki kua Mungu pekee. yaweeeh

Zaidi ya yote,, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega,, hubadiliki kamwe...
Zaidi ya yote,, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega,, hubadiliki kamwe...
Zaidi ya yote,, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega,, hubadiliki kamwe...

Nikitazama nyuma na mbele,, naona ukuu wako. Kaskazini kusini pia,,
Naona ukuu wako. Magharibi nako mashariki pia ee,, naona ukuu wako

Zaidi ya yote,, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega,, hubadiliki kamwe...
Zaidi ya yote,, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega,, hubadiliki kamwe...

Hakuna mkamilifu katika wanadamu iyee,,
Zaidi ya ee weh Mungu wangu Mungu wangu... Kila goti lipigwe,,
Kila ulimi ukiri,, kuwa wewe ni Mungu pekee,, pekee,, weewee

Zaidi ya yote,, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega,, hubadiliki kamwe...
Zaidi ya yote,, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega,, hubadiliki kamwe...

Umenipigania,, vita vikali. Hadi mimi singeweza,, peke yangu.
Maadui waliniandama,,
Lakini ukawatawanya,, kwa njia sabaa... Usifiiwe... Uabudiwe

Zaidi ya yote,, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega,, hubadiliki kamwe...
Zaidi ya yote,, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega,, hubadiliki kamwe...

Unabaki kuwa,, MUNGU TU. anabaki kuwa,
, MUNGU TU Na kwa wakamba,, MUNGU TU.

Na kwa waluhya,, MUNGU TU.
Na wakikuyu,, MUNGU TU.

Na kwa waturkana,, MUNGU TU.
Hata wakisii,, MUNGU TU.
Hata waluo,, MUNGU TU.
Na kwa wamasaii,, MUNGU TU.
Na kwa wakalenjin,, MUNGU TU.
Eeeyeye MUNGU TU.
Na mijikenda,, MUNGU TU.
Unabaki kuwa,, MUNGU TU.
Na kwa wazungu,, MUNGU TU.
Afrika yote,, MUNGU TU.
Dunia yote,, utabaki kua Mungu mkuu.
MUNGU TU

Zaidi ya yote,, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega,, hubadiliki kamwe...
Zaidi ya yote,, utabaki kua Mungu mkuu.



Credits
Writer(s): Evelyn Wanjiru
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link