Skia

Kaka empire is the lifestyle
Wale uniskiza (skia skia)
Wale uniskia
Wale uniskiza (skia skia)
Wale uniskia
Wale uniskiza
Wale uniskia (skia skia)
Skia wale uniskiza (skia skia)
(It's baiby) wale uniskia

Hii sio kismart
Mi niko grind
We uki doz
Pia naomba so pia usi mind
Niki floss

Ni shukrani narudisha kwa wanjiku kimani
Si mge mjua pia nyi mge pea shukrani
Kwa pilka niko juu kuna mahali mi nadai kufika
Na focus kwa compass ukiona nimeficha
Sio na macho pekee unaweza ona vision
Officials pekee wananijua initials

Get rich or die poor
Niko na phobia ya kurudi mahali nilikua
Niku lonely at the top ni sawa inakubalika
Juu kule down inakuanga worse mara tisa

Kuna wale uniskiza
Kuna wale uniskia
Kudedi bila purpose
Ndo kitu me u fear
Niki amka kesho bado nakimbia
Na niki lala leo bado pesa inaingia

Wale uniskiza
Wale uniskia
Kudedi bila purpose
Ndo kitu me u fear
Niki amka kesho bado nakimbia
Na niki lala leo bado pesa inaingia

Wale uniskiza (skia skia)
Wale uniskia
Wale uniskiza (skia skia)
Wale uniskia

Unapanda maindi mi napanda maembe
Vile uget ndo taofauti yangu na wewe
Ka ndula haikutoshi mwenyewe mpatie itamtosha
Kudhani ushani soma page mbili ndo makosa
Ni sawa tuko equal lakini ujue you're not my equal
Na ni ivyo ndo itabaki na itakua mbaka kifo

Mungu amenipa akakupa ndo bado anaweza kunyanganya sare pupa
Nadai ku atain nashindwa ku maintain
Hii pleasure champagne ni pressure na pain
Mkigundua nimlima ndo mna complain
Fortune si promise juu umewai fame

Nadai ku atain nashindwa ku maintain
Hii pleasure champagne ni pressure na pain
Mkigundua nimlima ndo mna complain
Fortune si promise juu umewai fame

Kuna wale uniskiza
Kuna wale uniskia
Kudedi bila purpose
Ndo kitu me u fear
Nikiamka kesho nakimbia
Na nikilala leo bado pesa inaingia

Wale uniskiza
Wale uniskia
Kudedi bila purpose
Ndo kitu me u fear
Nikiamka kesho bado nakimbia
Na nikilala leo bado pesa inaingia

Wale uniskiza (skia skia)
Aale uniskia
Wale uniskiza (skia skia)
(Abh sound baiby)

Kaa upepeo nyuma yangu na sio mate kwa uso
Love ndo vaccine na ugonjwa ni very crucial
It's either uwache ama uendelee si wote tuko na choices
Skiza the main take kwa roho chorea other voices
Ukijua kile najua utawacha kufananisha mwezi na jua
Kuna vile utakua usipokua
Wisdom na favour ndo kitu mi uomba saa ya dua
Skia



Credits
Writer(s): Dennis Njenga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link