One Love

One tribe
J-Blue, Wambo, Jimweezy
Tuna bidii kwa ground, shinda politicians waround
Kafupi, nono, round, on tax-payers account
2022 campaign, watulambishe thao-thao
Alaf for tha next 5-years, watuache ubao-ubao
Tushawasoma tuko rada futa ubao mwalimu
Politricks za trick or treat, divide & rule
Kabila si 47, kabila ni hell or heaven
Heaven on earth for the rich
Ya above the meek will inherit
But til then tujitoe hell ya sufferation
Mass-population
Sick no medicine only free medication 'rona vaccination
Tushawaonea 18, last time tulikua ma under-18
Round hii si mchezo, tunawa kansoul videadly
Tunawapiga na peace, reversed psychology
Hatuwapigi kwa streets, tuzidi ka majirani
Politicians ni wa kucome, wakitugawanya, wanago
Hatuvote kimala mala, tunavote for peace, love & hope

2022 ni One Love, hakuna violence
Ni One Love, hakuna violence
This year ni One Love, hakuna violence
Ni One Love hakuna violence
2022 ni One Love, hakuna violence
One Love, hakuna violence
This year ni One Love, hakuna violence
One Love, hakuna violence
Politicians this year itakuwa hard kutuchezea
5-years kwa hio seat na daily mnatuchorea
Hakuna kukuvote back pesa zetu zinapotea
Huku kwa ground, kura zetu ndo mnategemea
Maskini analala njaa wee bado unamake mashillings
Sio kumtreat vile inafaa, mwishowe unaleta feelings
We're ready for change hakuna kuhongwa na mia-mia
Hatutaki hizo ma mia-mia
Uchaguzi tuna make the right-choice, hakuna fear
Wale watiaji this year watakaskia
Vaco za kijinga hapa tunakanyangia
Yeah, hapa tunakanyangia
Mathare, Kibera na Eastleigh hakuna violence,
Round hii hakuna violence
Nakuru, Kisumu na e.t.c hakuna violence, Round hii tumekataa juu

2022 ni One Love, hakuna violence
Ni One Love, hakuna violence
This year ni One Love, hakuna violence
Ni One Love hakuna violence
2022 ni One Love, hakuna violence
One Love, hakuna violence
This year ni One Love, hakuna violence
One Love, hakuna violence

Kenya, Kenya, Kenya taifa-letu
Kenya, Kenya, Kenya nchi-yetu
Kenya, Kenya, Kenya taifa-letu
Kenya, Kenya, Kenya nchi-yetu



Credits
Writer(s): James Mburu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link