Unanionea

Hivi kweli yupo
Mwenye roho mbaya kukushinda
Maana mi sijaona duniani
Hivi kweli yupo
Aso na haya kukushinda
Maana mie sijaona sijaona

We mtu gani uko radhi
Mwenzako niteketee
Wakati unajua dawa yake
Ni kumponya
Nihurumie

Ama mtu gani aliyefika
Akaongeza makeke
Na wakati anajua
Mi kwako ndo napona
We nihurumie

Mi najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea
Nimekuzoea mmmh

Unanionea
Mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea
Unanipiga mie
Unanionea
Unafanya nione mapenzi mabaya
Unanionea
Lalalaa mmmmh

Na kama kuachana nakubali
Sawa fanya yako
Ila sio lazima unionyeshe uniumize
Au kisa unajua
Unaniacha bado nakuhitaji
Ndo unaona bora unikomeshe
Unilize eeeh

Ah poa poa
Nishajua vya utamu
Vinakuwaga vya uchungu
Ili doa doa milima haikutani

Japo najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea
Nimekuzoea mmmh

Unanionea
Mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea
Unanipiga mie
Unanionea
Unafanya nione mapenzi mabaya
Unanionea
Lalalaa

Unanionea
Unanionea bure
Hata Bonga anajua unanionea
Chino anajua
Unanionea
(It's Lykos records)



Credits
Writer(s): Marioo Mwanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link