Juu

Yeah
MOB YOH

Look how I came up
Young Black boy from the trench house
The one you doubt about but am blessed up
Now we living good living fresher
Tumeshalia sana tunacheka
We don't give about haters
Hi Haters
Mnapenda twende Jela
26 number sio kina Mandela
Me najaza hela waulize Bank Teller

Kuyajenga na Mungu kwenye sala
Nisiingie kichwa kichwa kwenye hustle na Biashara
Nipige smart moves nijiepushe na hizo hasara
Wakizingua niwe flexible kama Haji Manara

Ngoma tunazotoa zipo litty
Michongo unayotoa sometimes ipo risky
Tunakaza huku Fans hawatabiriki
Tupe Patience na heshima kila unapotupa riziki

Najiona nipo Juu
Na Mungu ndio Mkuu
Japo nilisuffer
Na ninasuffer

Najiona nipo Juu
Na Mungu ndio Mkuu
Japo nilisuffer
Na ninasuffer

Yeah yeah
I wont stop I gotta find a way
I wanna live my life haters say wait oh wait
I said am living my life
Usinifate don't try
Panga nilishanoa
Jua Maisha ndo haya
Lazima ntatoboa japo badman life is so hard
So let me go, you better know Who I am yea yeah

Nachotaka ni Mkwanja fast life and living large
Kitambo mambo mbaya man am going hard
Na kama ukichukia utashangaza
Usijione upo mbele man wana wanakujaza
Am all about my money my money
Na hizo beef hatufanani kitu gani
Uh, you messin with the real Gs right here
Me na Soni tunazichanga kama Cashiers

Hizi ni Hisia na Skills Hey Papii
Hatuna Ushamba wa kufake bidii ka wack emcees
Tupo chimbo daily tukiassemble vina
Na ujanja ni kutanguliza kazi sio majina
Yeah na game these days jua la utosi
Ukizidi complain hauchomoki
Si Safari ni ndefu bado hatuchoki
Sijui ni lini God damn nitakua kibosi

Najiona nipo Juu
Na Mungu ndo Mkuu
Japo nilisuffer
Na ninasuffer

Najiona nipo Juu
Na Mungu ndio Mkuu
Japo nilisuffer
Na ninasuffer

Yeah Yeah



Credits
Writer(s): Reward Shayo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link