Romantic Rivals

Yo
Ready when you're ready yo
Big Beats Afriq
Skrrt krr-krr-krr
Ha Ha Ha Ha
Yo
Big Man Ting (Big Man Ting)

Jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya Imprezza
Look fisa na nina M-Pesa, mchote na Sub to impress her
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals

(Yeah, uh)
U-u-u-umeskia news, si ni ma romantic rivals
Ikibidi tunabuy views, manze hii must i-go viral
Ni for real na unaweza prove, na zenu ni ma plastic maimbo
One woman mi sinanga crew, kwa skirt nimesunda automatic riffle
I've been takin' my time with this one, you've been talkin', and I've been listenin'
You've been shoppin' and I've been flexin', you've been plottin' on me men "riswa"
Tuliza mastress na mambichwa, kuzoza ni must imeandikwa
Usibonge unaweza lishwa, Scar de cheki uh huh ng'arisha

Same clothes but different moves, same hoes in different crews
I can't smile and beef with you, man I throw a gang sign when I see my goons
I just call a buffoon a buffoon, the opps said that I pulled up too soon
Wanajua tukikuja ni ma thu-thu, tunaingiza zogo hata ngori haituhusu
Yo, as long as I get my dough, I really don't care if we get along
Hashtag easy no pressure mob, Hashtag free the oppression
Yo, I didn't forgive him it's just that me I forget a lot
Fuck si siri, you fuck with me, you might get shot
Boom!

Jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya Imprezza
Look fisa na nina M-Pesa, mchote na Sub to impress her
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
Jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya Imprezza
Look fisa na nina M-Pesa, mchote na Sub to impress her
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals

Yo, yo, yo
Sleeping pill, sippin' slimmin' tea, ukiguza slim nitatii
Deep hizi street, mi niko mamristi, nguna hio slit she's dressed on fleek
I'm lookin' like I'm simpin', I'm loo- I'm lookin' like a sinkin' ship
Li-li-li-lirry, I'm lookin' sleek
Mum, alipata chini ya pillow kipistol na siko Detroit Pistons
Ulijuaje kudinya ivo? On other people's daughters
Dosh man Wuzu, ne-ne-ne-new Harry Potter, mnabonga hallo, hapo, hapo

Ma diva madivai haogopi kupiga, ka si Bimmer hio ndai sitashika
Months on the liqour, niko mamzinga, plus naririma sioni nikifika
Bega kwa bega, ndio tumedrop kuwafinyia kindeng'a (Pa Pa Pa Pa)
Ikilia huku utahepa, tunaidraw kuthigitha mambleina
Eeh ni sisi, scavengin' kwa ma esto zenu
Manze jo na ikibidi, ka sina form utanipata kwenu
Yo, high kuliko UAP tower, siku hizi naitwanga Mr. maWADA
Mi hurubingi paka na power, blunder nitaka shara namwaga

Jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya Imprezza
Look fisa na nina M-Pesa, mchote na Sub to impress her
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
Jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya Imprezza
Look fisa na nina M-Pesa, mchote na Sub to impress her
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
Jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya Imprezza
Look fisa na nina M-Pesa, mchote na Sub to impress her
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
Jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya Imprezza
Look fisa na nina M-Pesa, mchote na Sub to impress her
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
Feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals

Credits
Writer(s): Wangechi Waweru
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link