Mwamba Ni Salama

(Eeeeeehhhh, mwamba ni salama, salamaaa)

Chaku tumahini sina, ila damu yake Bwana
Sina wema wakutosha, dhambi zangu kuziosha
Kwake Yesu nasimama (Simamaaa)
Ndiye Mwamba ni salama
Ndiye Mwamba ni salama (Aaaaaaa eyeee)
Kwake Yesu nasimama
Ndiye Mwamba ni salama
Ndiye Mwamba ni salama (Aaaaaa)

Chaku tumahini sina, ila damu yake Bwana
Sina wema wakutosha, dhambi zangu kuziosha
Kwake Yesu nasimama
Ndiye Mwamba ni salama
Ndiye Mwamba ni salama (Aaaaaaa)
Kwake Yesu nasimama
Ndiye Mwamba ni salama
Ndiye Mwamba ni salama (Aaaaaa iyeeee)

Nimeweka tumahini kwakwe
Anayejua leo yangu, na kesho yangu
Mmmmmh
Kwake Yesu nasimama
Ndiye Mwamba ni salama
Ndiye Mwamba ni salama (Aaaaaaa uyeeee)

Bwana ni nuru yangu,Na wokovu wangu
Ni mwogope nani, Hapa chini ya jua
Hata nijapopita kati ya bonde la uvuli
Wa mahuti sitahogopa, kwakua Bwana yu pamoja nami
Yeeeeeeeei Eeeeeeii Eeeeeeee

Chaku tumahini sina, ila damu yake Bwana
Sina wema wakutosha, dhambi zangu kuziosha (Nasimamaaa)
Kwake Yesu nasimama (Nasimamaaa)
Ndiye Mwamba ni salama (Yeye Nisalamaaa)
Ndiye Mwamba ni salama (Iyeeeeiee nasimamaaa)
Kwake Yesu nasimama (Nasimamaaa)
Ndiye Mwamba ni salama (Nisalamaaa)
Ndiye Mwamba ni salama (Aaaaaa iyeeee)

Kwenye giza nene huni hangazia
Kwenye njaa hunipa chakula
Wakati wa dhiki hunipa faraja, Bwana wangu

Kwake Yesu nasimama (Nasimamaaa)
Ndiye Mwamba ni salama (Mimi Nasimamaa)
Ndiye Mwamba ni salama (Iyeeeeiee kwa Yesu nasimamaaa)
Kwake Yesu nasimama
Ndiye Mwamba ni salama (Nisalamaaa)
Ndiye Mwamba ni salama (Nisalamaaaaa)



Credits
Writer(s): Bernadette Mtendjwa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link