Shona

Ooh Lord have mercy!
Sharpboy!
Dun know!

My girl you gimme motivation!
Mi nipo Makini i don't wanna lose you girl!
Na siunajua sijiwezi mie, usitie shubiri penzi lako ni soo!
Yaani nikikuona everytime everytime!
Haki ya nani unanimaliza maliza!
Girl unanituliza tuliza!
Udambu dambu kama miujiza miujiza!
Si unajua nina nia till i die die die!
Nipe raha za Dunia nijidai dai dai!
Ua ridi lanukia babe i can't deny!
Break zishafunga kwako gimme your smile!

Roll up roll up!
Nikikuona mi napona pona!
Palipochanika babe shona shona!
Niki-miss malumbuzi pika dona dona!
Babe roll up roll up!
Nikikuona mi napona pona!
Palipochanika babe shona shona!
Niki-miss malumbuzi pika dona dona!

Eeh miee eeh!
Si unajua vile mapenzi yanauma yaumiza yanaumiza!
Ushanitia na upofu sioni we usione mi naigiza!
Mtoto unayajua mapenzi, umenilevya nipo nyang'anyag'a!
Walianza mababu toka enzi, nakuapia unanichanganya!
Sitamani nikukose mwenzio naomba usije ukanimwaga!
Na usicheze danadana hatari sana!
Matanuzi kujishaua jitunze Maa!

Roll up roll up!
Nikikuona mi napona pona!
Palipochanika babe shona shona!
Niki-miss malumbuzi pika dona dona!
Babe roll up roll up!
Nikikuona mi napona pona!
Palipochanika babe shona shona!
Niki-miss malumbuzi pika dona dona!

Roll up roll up!
Pona pona!
Shona shona!
Niki!
Dona dona!
Babe roll up roll up!
shona shona!
Dona dona!



Credits
Writer(s): Shabani Shabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link