Mkataba
Ata mkinikata miguu bado ntatembea juu ya biti
Atakama ikiwa sikukuu beki 3 hua hapumziki
Atakama dem anchane vipi simsikii namsikiliza nicki
Kapoteza hajielewi busy anatafuta kiki
Daily natembea na sticki
Acha nfanye leo leo cause kesho yenyewe haitabiriki
Akishapita mwanangu basi tena haitamaniki
Itakua gari lao vijana hawakamatiki
Dili zote zinatick ka na mkataba na nike
Kamwe siwezi acha mziki ata mkinfichia mic
Hawajui story yako wala hawataki kuisikia
Hawakujua kua me ni mbegu wakanifukia
Nkipost navibe na ngoma zangu wanasema najiskia
Siwezi lewa penzi atakama dem awe na mguu wa beer
Simamisha chepe juu ya udongo nshafukia hisia
Alikua na mvuto alinivuta mwisho nkamwachia
Samahani ka uliumia
Yea
Nje huwezi ona ingia ndani uone mambo
Kuna kula na kuliwa kua makini usiwe chambo
Huwezi jua utamu wa kitu mpaka uonjeshwe sampo
Huwezi ona uchafu nje msafi ndani Dampo
Usiharakishe
Usijifananishe
Pesa zipo zitakwepo wala waskutishe
We chekecha umiza kichwa fanya uskume mishe
Amna namna mtoto kiume inabidi usababishe
Nakua kipofu nkiwa kwenye hustle zangu sioni aibu
Ata iweje siimbi afro acha ntoke taratibu
Natamani kua diamond sijai waza kua chibu
Ukiniuliza me ni nani Kuzza Trapper hio ndo jibu
Bahat nzuri nshawafuta waliokua wananichora
Sawa tupo rappers wengi ila skosi tatu bora
Naenjoy kua bachelor sjui ka ntaoa
Nina moyo mkubwa nabidi niwe mwangalifu nkiwa natoa

Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.