Ninatamani

Ulipo wewe moyo wangu unatamani ukae
Ulipo wewe roho yangu inatamani ikae
Maana we ndo njia ya ukweli na uzima
Bwana
Heri kuchagua jina lilo jema
Kuliko mali nyingi
Eeh
Ninatamani nikae
Uwepo mwako
Ninatamani nikae
Barazani pako
Ninatamani nikae uweponi mwako
Ninatamani nikae, nawe
Ninatamani nikae
Uwepo mwako
Ninatamani nikae
Barazani pako oouw
Ninatamani nikae uweponi mwako
Kwake Yesu mimi nasimama aah
Ndie mwamba, tena ni salama aah
Kwake Yesu mimi nasimama aah
Ndie mwamba

Utanifundisha
Nakunionesha
Njia ya kupita
Aaiah Bwana
Utanishauri
Jicho lako likinitazama
Kwahiyo kweli yako
Basi nalisema yanifaa kuwa ndani yako
Ili niijue sababu ya kuishi kwangu
Sawa nakusema yanifaa kuwa ndani yako
Ili niyajue nakutenda mapenzi yako
Hoouyeeee
Ninatamani nikae
Uwepo mwako
Ninatamani nikae
Barazani pako
Ninatamani nikae
Uweponi
Hooo
Hoou-o
Hoou-o
Mh-haa
Hooo
Hoou-o
Hoou-o
Yeee-hee-i



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link