Nakupenda Wewe

Oooh
Moyo wangu wakuadhimisha wewe
Maana umeijaza amani yako
Umehakikisha kwako niko salama
Umehakikisha nimejazwa pendo lako
Kwako nina ujasiri, nina furaha ipitayo zote
Kwako nina ujasiri, nina furaha ipitayo zote
Nakupenda wewe
Nakwitaji wewe
We ndo kimbilio
Langu la pembeni
Nakupenda wewe
Nakwitaji wewe
We ndo kimbilio
Langu la pembeni
Mi nende wapi?
Mi nende wapi?
Furaha yako ndio nguvu yangu
Furaha yako ndio nguvu yangu
Mi nende wapi?
Mi nende wapi?
Furaha yako ndio nguvu yangu
Furaha yako ndio nguvu yangu
Mbaa Hee
Hosanna Hosanna ndio jina lako
Ulieianzisha safari yetu
Mikononi mwako ukatuchora
Na hemani mwako ukatuweka
Kwa maana kwako Mungu nitatumika
Kwa maana kwako Mungu nitanyenyekea
Kwa maana kwako Mungu nitatumika
Kwa maana kwako
Nakupenda
Usiebadilika
Nakupenda
Ulochanzo cha yote
Nakupenda
Jemedari wangu
Nakupenda ulo-mwamba imara
Nakupenda
Usiebadilika
Nakupenda
Ulochanzo cha yote
Nakupenda
Jemedari wangu
Nakupenda ulo-mwamba imara
Nakupenda wewe
Nakwitaji wewe
We ndo kimbilio
Langu la pembeni
Nakupenda wewe
Nakwitaji wewe
We ndo kimbilio
Langu la pembeni
Nakupenda
Usiebadilika
Nakupenda
Ulochanzo cha yote
Nakupenda
Jemedari wangu
Nakupenda ulo-mwamba imara
Nakupenda wewe
Nakwitaji wewe
We ndo kimbilio
Langu la pembeni
Oooh



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link