Wema Wako

Wewe ni mwenye fadhili
Nazo rehema tele
Jina lako Adonai
Niko ambae niko
Wasamehe hasirani
Hivyo ndivyo ulivyo
Je ni shida gani au sababu
Itayonitenga na pendo lako
Je ni dhiki gani au mateso
Yatayonitenga na pendo lako
Wema wako unadumu

Wema wako
Unapita vizazi
Wema wako
Unadumu milele
Wema wako
Watangaza fadhili
Wema wako
Yesu ninashukuru
Wema wako
Unapita vizazi
Wema wako
Unadumu milele
Wema wako
Watangaza fadhili
Wema wako
Yesu ninashukuru

Aah hee
Aah hee
Aaah
Aah hee
Aah hee
Aaah

Jeshi lijapojipanga
Kupigana na mimi
Wafungua macho yangu
Kuona ulivyokwangu

Baba wema wako umekuwako toka zamani
Wawanyeshea watakatifu na wenye dhambi
Wema wako Bwana
Haufananishwi
Haulinganishwi
Ni wa pekee
Wema wako Bwana
Unatakabali
Unanihifadhi
Ndivyo ulivyo
Wema wako Bwana
Haufananishwi
Haulinganishwi
Ni wa pekee
Wema wako Bwana
Unatakabali
Unanihifadhi
Ndivyo ulivyo Bwana

Wema wako
Unapita vizazi
Wema wako
Unadumu milele
Wema wako
Watangaza fadhili
Wema wako
Yesu ninashukuru

Wema wako
Unapita vizazi
Wema wako
Unadumu milele
Wema wako
Watangaza fadhili
Wema wako
Yesu ninashukuru



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link