Nafsi Yangu

Mbona kuinama nafsi yangu nafsi yangu
Mbona kuinama iyeee
Mbona kuinama nafsi yangu nafsi yangu
Mbona kuinama
Iyee iye iye
Umesahau kwamba yeye ni baba yako
Mbona kuinama iyeee
Ni kweli umesubiri
Tena kwa muda mrefu
Mbona kuinama iye iye iye
Mtazame yeye, siku zote
Yeye ni mwanifu iyeee
Ahadi zake zote kwako
Zipo kwenye majira
Iyee iye iye
Mbona kuinama nafsi yangu nafsi yangu
Mbona kuinama iye iye iye
Mtumaini Bwana nafsi yangu nafsi yangu
Mtumaini Bwana iye iye iye
Je ni jambo gani gumu kwake
Yote yawezekana iyeee
Hasubiri ufike mwisho
Mwite anaitika iye iye iye
Bado anakupenda, bado anakujali
Wala usife moyo uwoo
Bado anakupenda, bado anakujali
Wala usife moyo uwo uwo uwo
Mtazame yeye siku zote
Yeye ni mwanifu iyeee
Ahadi zake zote kwako
Zipo kwenye majira iye iye iye
Mbona kuinama nafsi yangu nafsi yangu
Mbona kuinama iye iye iye
Mtumaini Bwana nafsi yangu nafsi yangu
Mtumaini Bwana iye iye iye
Usikate tamaa
Mbona kuinama nafsi yangu nafsi yangu
Mbona kuinama iye iye iye
Mtumaini Bwana nafsi yangu nafsi yangu
Mtumaini Bwana iye iye iye
Usikate tamaa
Usiache kuomba
Yeye ni mwaminifu
Iyee-iye
Apasua bahari, tabibu wa kweli
Ooh yeye mwaminifu
Jina lake elohim, niko ambae niko
Ohh yeye mwaminifu
Mbona kuinama nafsi yangu nafsi yangu
Mbona kuinama iye iye iye
Mtumaini Bwana nafsi yangu nafsi yangu
Mtumaini Bwana iye iye iye



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link