Sikio

Sikio lako limesikia habari nyingi
Magazetini redio na hata tv
Sikio lako limesikia habari nyingi
Magazetini redio na hata tv

Habari za siasa habari za uchumi
Habari za siasa habari za uchumi
Yoiyoooo
Habari za siasa habari za uchumi
Habari za siasa habari za uchumi
Yoiyoooo

Ulipojua magonjwa ulipojua vita na kifo
Ulipojua magonjwa ulipojua vita na kifo
Moyo wako ukajawa na mashaka
Moyo wako ukajawa na mashaka

Tega sikio tumeleta habari njema
Tega sikio usikie habari njema
Tega sikio tumeleta habari njema
Tega sikio usikie habari njema
Yupo Yesu ni bingwa wa yote
Yupo Yesu kiboko wa yote

Kwanini upeleke mali kwa waganga wa kienyeji
Badala ya kuzitafuna na watoto wako
Kwanini upeleke mali kwa waganga wa kienyeji
Badala ya kuzitafuna na watoto wako
Ujue unauleta umasikini nyumbani mwako
Ujue unayaleta matatizo mwenyewe
Ujue unauleta umasikini nyumbani mwako
Ujue umeyataka matatizo mwenyewe

Oooh baba yoiyooo
Aaaaah badilika aaaah
Mama yoiyooo
Aaaah badilika aaaah
Baba yoiyooo
Aaaah badilika aaaah
Mama yoiyooo
Aaaah badilika aaaah
Badili mwenendo wako
Aaaah badilika aaaah
Badili mwenendo wako
Aaaah badilika aaaah
Baba yoiyooo
Aaaah badilika aaaah
Utauwa watoto wako
Aaaah badilika aaaah
Wewe eheeeeh

Shetani ni baba wa uongo achana naye
Shetani ni baba wa uongo achana naye we
Atakudanganya atakulaghai bure
Atakudanganya atakulaghai
Kama Adamu na hawa
Baba ooooooh
Mwamini Yesu ndugu yeye ni njia ya kweli
Mwamini Yesu ndugu yeye ni njia ya kweli
Wa mwendeao yeye hawatapotea
Wa mwendeao yeye hawatahadaika
Mama ooooh

Yesu kiboko
Yesu kiboko
Yesu kiboko
Yesu kiboko
Yesu kiboko
Yesu kiboko

Kiboko ya magonjwa
Yesu kiboko
Kibokoooo
Ukiwa na shida mbalimbali
Yesu kiboko
Umekumbwa na matatizo
Yesu kiboko
Shida zoteeeee
Yesu kiboko
Hakuna asiloliweza
Yesu kiboko



Credits
Writer(s): Onesmo Mlawa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link