Ni Nani?

Eeeeeeh Yesu
Eeeeeh
Mwokozi wetu
Eeeeeeh Yesu
Eeeeeh
Mwokozi wetu
Umetulinda bwana ni wema wako
Umetuponya bwana ni huruma zako
Umetulinda bwana ni wema wako
Umetuponya bwana ni huruma zako
Hatuna chakulipa kwako Bwana wetu
Hatuna chakulipa kwako Bwana wetu
Ekheeeeeeh

Ekheeeeeeeh
Pokea sifa zetu baba
Eeeh Mungu eeeeh
Pokea matukuzo yetu
Sifa ni zako wewe
Pokea sifa zetu baba
Sifa za wanyoofu wa mioyo
Pokea matukuzo yetu

Nyimbo zetu na sifa zikufikie
Na sauti nzuri ziwe manukato kwako baba
Nyimbo zetu na sifa zikufikie
Na sauti nzuri ziwe manukato kwako baba

Ni nani aliyekama wewe Mungu
Matendo yako siwezi yahesabu
Siwezi yahesabu

Mbingu yahubiri Utukufu wake Mungu
Anga la tangaza kazi yake Bwana
Mbingu yahubiri Utukufu wake Mungu
Anga la tangaza kazi yake Bwana

Utukufu na heshima ni vyako Mungu
Ni vyako mungu hakuna kama wewe
Utukufu na heshima ni vyako Mungu
Ni vyako mungu hakuna kama wewe

Tukulipe nini ewe Mungu wetu
Tulivyo navyo vyote mali yako
Mungu

Nijivunie nini
Niringie nini mimi
Vyote mali yako
Ooooh
Nijapoimba sana mimi
Na sauti nzuri hii
Yote mali yako
Nijivunie nini mimi
Niringie nini mimi
Vyote mali yako
Ninapoimba sana mimi
Na sauti nzuri kumbe
Yote Mali yako

Tukulipe nini ewe Mungu wetu
Tulivyo navyo vyote Mali yako Mungu
Tukulipe nini ewe Mungu wetu
Tulivyo navyo vyote Mali yako Mungu



Credits
Writer(s): Onesmo Mlawa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link