Pokea Sifa

Pokea sifa Bwana
Pokea sifa Bwana
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Eeeeeh Bwana

Pokea sifa Bwana
Pokea sifa Bwana
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Eeeeeh Bwana

Eeeh Bwana nimesikia habari zako
Nami Bwana ninaogopa
Eeeh Bwana nimesikia habari zako
Nami Bwana ninaogopa
Wewe waiuna wanyonge wenye kiburi
Unawashusha wenye majivuno
Huwapa adhabu wanyenyekevu uwainua
Wewe waiuna wanyonge wenye kiburi
Unawashusha wenye majivuno
uwapa adhabu wanyenyekevu uwainua

Pokea sifa Bwana
Pokea sifa Bwana
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Eeeeeh Bwana

Moyo wangu una kiu sana
Yakukusifi Bwana wa majeshi
Wamajeshi
Moyo wangu una kiu sana
Yakukusifi Bwana wa majeshi
Wamajeshi
Nikitaka kusimulia nashindwa kusimulia
Sifa zako ni nyingi eeeh Bwana
Nikitaka kusimulia nashindwa kusimulia
Sifa zako ni nyingi eeeh Bwana

Pokea sifa Bwana
Pokea sifa Bwana
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Eeeeeh Bwana

Pokea sifa Bwana
Pokea sifa Bwana
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Eeeeeh Bwana

Pokea sifa Baba eeeeh
Pokea
Hakuna kama wewe Mungu wetu
Uishie mahali pajuu Baba
Pokea
Umetufanya sisi kwa mfano wako
Hakuna kama wewe Baba
Pokea
Sifa na Utukufu tumpe nani
Twakurudishia wewe
Pokea
Pokea pokea baba Mungu wetu
Pokea
Ulikotutoa mbali sana na
mahali tulipofika sifa na Utukufu
Pokea
Eeeeh Ebenezer eeeeeh baba ooooh



Credits
Writer(s): Onesmo Mlawa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link