Hatima

Wewe ni Mungu nguvu yetu
Ushindi wetu fahari yetu
Twakuamini twakuamini
Wewe ni Mungu nguvu yetu
Ushindi wetu fahari yetu
Twakuamini twakuamini
Huwezi kutuacha Bwana
Huwezi kutuacha wewe
Huwezi kutuacha Bwana
Huwezi kutuacha wewe

Ni muda sasa umekwenda huelewi
Hatima ya maisha yako unaona kama haieleweki
Ni muda sasa umekwenda huelewi
Hatima ya maisha yako unaona kama haieleweki
Aliyemwanzilishi wa safari yako
Atakufikisha mpaka mwisho wako
Aliyemwanzilishi wa safari yako
Atakufikisha mpaka mwisho wako

Usiogope mama kwa jaribu lako unalopitia
Usiogope baba kwa jaribu lako unalopitia
Usiogope mama kwa jaribu lako unalopitia
Usiogope baba kwa jaribu lako unalopitia
Mungu wetu ni Mungu wa maagano
Kazikuza ahadi zake kuliko jina lake
Mungu wetu ni Mungu wa maagano
Kazikuza ahadi zake kuliko jina lake
Hawezi kukuacha Bwana
Hawezi kukuacha yeye
Hawezi kukuacha Bwana
Hawezi kukuacha yeye

Hatima yote ya maisha yetu
Ipo kwako twakwamini
Hatima yote ya maisha yetu
Ipo kwako twakwamini
Huwezi kutuacha Bwana
Huwezi kutuacha wewe
Huwezi kutuacha Bwana
Huwezi kutuacha wewe

Mungu yupo awe ngome yako
Awe msaada kwako Daima
Mtazame yeye
Mungu yupo awe ngome yako
Awe msaada kwako Daima
Mtazame yeye

Maana hakuna Jambo asiloliweza
Tena jambo gani lililogumu kwake
Maana hakuna jambo asiloliweza
Tena jambo gani lililogumu kwake

Hatima yote ya maisha yetu
Ipo kwako twakwamini
Hatima yote ya maisha yetu
Ipo kwako twakwamini
Huwezi kutuacha Bwana
Huwezi kutuacha wewe
Huwezi kutuacha Bwana
Huwezi kutuacha wewe

Hatima yote ya maisha yetu
Ipo kwako twakwamini
Hatima yote ya maisha yetu
Ipo kwako twakwamini
Huwezi kutuacha Bwana
Huwezi kutuacha wewe
Huwezi kutuacha Bwana
Huwezi kutuacha wewe



Credits
Writer(s): Onesmo Mlawa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link