Grace

T Sound record
Mhh hh I like Cnga Pool sound bby
Yeah
Baby njoo unifuate
Tukutane tukutane weekend
Tukila kush tuwaalike
Na masnitch waebike,bike
Tenauniweke kwenye moyo
Ibuka town tuwe wote bby
Mi kwako dear nimezama
Baki na mie ubaki na mie
Kwingine mapenzi sijaona
Nikoleze usiondoke mama
Usiondoke itaniumaa
Hiki kisiki cha mapenzi we ni wangu

Grace, Ondoa Shaka
Leo mamamamama
Ma baby tukale wote
Ooh darling darling
Oyah bad girl
Grace, Ondoa Shaka
Leo mamamamama
Ma baby tukale wote, ooh darling darling

Ahahah
Mnyamwezi umenifanya nakunya juu ya jua
Maneno ya kishenz wanayotangaza et umeungua
Shaidi mwenyezi Mungu aliye juu ndo anajua
Acha wapige majungu mi kitumbua nabanjua
Ok rah rah katotolito, kote rah rah mpaka kokoriko
Ok weee umenifanya tuwe wote tuwe
Tena weee popote tuwe wote tuwe wote baby mama

Kwingine mapenzi sijaona
Nikoleze usiondoke mama
Usiondoke itaniumaa
Hiki kisiki cha mapenzi we ni wangu

Grace, Ondoa Shaka
Leo mamamamama
Ma baby tukale wote
Ooh darling darling
Oyah bad girl
Grace, Ondoa Shaka
Leo mamamamama
Ma baby tukale wote, ooh darling darling



Credits
Writer(s): Baraka Selemani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link