Mapepe

Kama ikitokea amani ya moyo imetoweka
Ah bora kunizika kuliko kukukosa
Na atakama ikitokea tupo kwenye shida
Mi nimeridhika siwezi kukutosa
Afu nikwambie wewe
Umeishika pumzi, pumzi ya mapenzi
Na chochote niambie wewe
Yani kama chizi, chizi wa mapenzi
Na penzi lako pingu ndo nishafunga
Moyo umekuchagua nakutaka baby
Aah lango ndo nishafunga
Moyo umekuchagua nakutaka taka
Aaaaah aaaaaah
Aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia
Aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia
Nimetulia tulia afu nina amani
Asa napokua na wee
Tulitumia vyajuani tukaishinda mitihan
Mimi furaha yangu ndo wewe aah wewe
Ndio hao marafiki vijini
Wasopenda uwe na mimi watasubiri subiri
Walidhani hutokua na mimi ona wanadhalili si tunapeta na jiji
Na penzi lako pingu ndo nishafunga
Moyo umekuchagua nakutaka baby
Aah lango ndo nishafunga
Moyo umekuchagua nakutaka taka
Aaaaah aaaaaah
Aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia
Nimetuli nimetuli aah sina mbambamba
Aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia
Ah nimeumaliza mwendo ah mwendo mwendo

Platform TZ – Mapepe Mp3 Download



Credits
Writer(s): Suleyman Salim Gao
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link