Mazee Joh Bana

Mazee Joh Bana
Swali ziko mingi kazi zenye mi hufanya
Haters wako wengi wanadai kunimada
Skuizi huwa sisongi ni ka niko na laana
Lakini mi hukaza (uh)
Mazee Joh Bana

Nilisota na bado sikudedi
Nikachora ati naeza kuwa pedi
Kwa ngoma mi huwaka, fwaka, fegi
Nikipanda stage si unajua ni kuseti
Kichwa ngumu ka Ugali ya jana
Nauma napuliza ka mimi ni kapanya
Nikichapa lazima nabakisha alama
If you dunnuo then buda kaa rada
Ka ni kucopy, copy the right cat
Ka ni sosi, sosi the right ass
Na hii mkate tunakata half-half
Hii maisha si ni tough uh
Niko chonjo chonjo basi wazi joh
Aluta ni aluta twende kazi bro
Nikikam itabidi umeniwai doh
Zikuje ka ni soh

Mazeee Joh Bana
Swali ziko mingi kazi zenye mi hufanya
Haters wako wengi wanadai kunimada
Skuizi huwa sisongi ni ka niko na laana
Lakini mi hukaza
Mazeee Joh Bana
Swali ziko mingi kazi zenye mi hufanya (uh)
Haters wako wengi wanadai kunimada (uh)
Skuizi huwa sisongi ni ka niko na laana (yeah)
Lakini mi hukaza (MG)
Mazeee Joh Bana

Aaaoh
Sauti alitoa nikim pooound
Akiwa amechora saba
Double penetration niliingia sim zote
Nilienda an extra mile nikaingia slot ya mem card
Yeah, cuzo anawork demka (demka)
Stacks zote ana earn anaeka
With your back against the wall
Manyoks ndo hukutenda
Walichora hiyo plot at the end wanakucheka
Rush ya nini buda kweni tuko Moscow
Ringtone yake ni WAP is she a poko
Huko coast tulisanifiwa ma local
Ziliongezwa madre maninja wana go loco
Sleep over kwa manzi no go zone
Ziliwaka moshi ikafika ozone
Ananyonga ju aliekwa bro zone
Procrastination sifanyangi I don't post pone

Mazeee Joh Bana
Swali ziko mingi kazi zenye mi hufanya
Haters wako wengi wanadai kunimada
Skuizi huwa sisongi ni ka niko na laana
Lakini mi hukaza
Mazeee Joh Bana
Swali ziko mingi kazi zenye mi hufanya
Haters wako wengi wanadai kunimada
Skuizi huwa sisongi ni ka niko na laana
Lakini mi hukaza
Mazeee Joh Bana

Bana, Bana
Bana, Bana
Mazee Joh Bana
Bana, Bana
Bana, Bana
Mazee Joh Bana
Bana, Bana
Bana, Bana
Mazee Joh Bana
Uh, Yeah
Mazeee Joh Bana
Swali ziko mingi kazi zenye mi hufanya
Haters wako wengi wanadai kunimada
Skuizi huwa sisongi ni ka niko na laana
Lakini mi hukaza
Mazeee Joh Bana
Swali ziko mingi kazi zenye mi hufanya
Haters wako wengi wanadai kunimada
Skuizi huwa sisongi ni ka niko na laana
Lakini mi hukaza
Mazee Joh Bana



Credits
Writer(s): Herbert Edukon
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link