Chachisha

Shortbabaa
I go by the name Jabidii

Chorus
Chachisha
Chachisha
Chachisha
Bora ni style za kanisa

Si uanza na maombi ofcos
Sifa hakosi yesu ndo boss
Na atukosi tunajua source
Shetani machozi machozi by force

Haya bas
na si lazima shash
We kuja church
kila Sunday ni bash
Hatuna haraka mzee
hatuna rush
Na hatuna pressure
Hush baby hush

Ni mbaya kabisa
Na ni ya kanisa
Tuna sababisha
Nani anabisha
Antoto misa
Ana tatanisha
By grace
We are here
Si ati na deserve

Manze ni God
Wangenifanya bad
Isipokua ni word
Na his blood
Gaii
Wooii
Bila God ingekua very bad

Chachisha
Chachisha
Chachisha
Bora ni style za kanisa

Chachisha
Chachisha
Chachisha
Bora ni style za kanisa

Watu wazitoke
Hakuna kutundura
Volume imentain hakuna kupunguza
Kuboeka ndo vitu napuuza
Usimind neighbor hakuna kuuguza

Hakuna invite singoje kualikwa
Ka nikudancia God siogopi kuanikwa
Gospel tamu imepikwa
Tuko nditni ndani utadhani tumeshikwa

Kila siku nikirau napiga devotion
Natambua mafuta na sio lotion
Blessings and blessings that's my portion
Na niko surrounded approach with some caution

Tuko na stingo kem kem
Na hatuko solo ka daniel kwa den den
Hatuna ucartoon ben 10
Na tuko na power na si kengen

Chachisha
Chachisha
Chachisha
Bora ni style za kanisa

Chachisha
Chachisha
Chachisha
Bora ni style za kanisa

Chachisha
Chachisha
Chachisha
Bora ni style za kanisa

Chachisha
Chachisha
Chachisha
Bora ni style za kanisa



Credits
Writer(s): Kevin Amenge
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link