Mbudya Vibez

Yea
Bado sijafika mbudya ila nishalewa
Saa kumi na moja kwenye boat tumechelewa
Pisi ndo tumekutana nazo zimetuelewa
Upepo wa bahari tuna enjoy hali ya hewa
Tukifika tu wote tunapiga shots
Nishavaa lifejacket leo lazima nitafloat
Drinks check food check kila kitu tumesort
Mashada ya kutosha tunapaa bila passport
2-piece swimsuit kajifunga na kikoi
Less talk more action hili picha haliboi
Niko na wanangu wa kitaa Im with my homeboi's
Circle full of playa's huku huezi kuta Loverboy
No kateperry hizo stim zakizungu
Kwa macho yake tu anaonekana ni mtundu
Ni kimodel fulan ila pia ana kishundu
Siezi kula dem wa mwana nsije pata gundu
Im just joking kama analiwa ataliwa
Kama ameloa amna shida atakamuliwa
Niko site live wewe utabaki kuadisiwa
Mengine huezi sikia zitabaki siri za kisiwa
Nimemix sanaa vitu niko too lit
Mhh Mhh
Hii kitu og kitu legit
Mhh Mhh
Life so good life soo sweet
Mhh Mhh
Naflow kama drizzy kwenye hii beat
Wakidiss
Waabie tu kabisa I dont give a shit
Prr prr prr prr prr prr prr prr prr prr prr prr prr prr
Okay
Nawanyea mahaters wangu cause they aint shit
Bado sijafika mbudya ila nishalewa
Saa kumi na moja kwenye boat tumechelewa
Pisi ndo tumekutana nazo zimetuelewa
Upepo wa bahari tuna enjoy hali ya hewa
Tukifika tu wote tunapiga shots
Nishavaa lifejacket leo lazima nitafloat
Drinks check food check kila kitu tumesort
Mashada ya kutosha tunapaa bila passport



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link