Katakila

Give me love
Camila give me love
Give me love, love love Love (Knockers knockers)
Katakila whine, baby katakila whine
Kamanda umeniroga najisahau njiani
Kilomita run, baby kilo mia back!
Napenda ukichezesha, niongeze burudani
Katakila whine, baby katakila whine
Kamanda umeniroga najisahau njiani
Kilomita run, baby kilo mia back!
Napenda ukichezesha, niongeze burudani
Me ndo Ninja nakukaba
Ngozi yako Lutipa, mtoto wakanda
Mida yangu ni saa sita, yako saa saba
Forget about the bell, mwenzio akija Don't get the door
Tena we unaipenda nikiikaba koo
Yale ma-design ya kutoa roho
Uno ulibeba! naumia roho
Twende another round
Around, around njoo
We unaipenda nikiikaba koo
Yale ma-design ya kutoa roho
Uno ulibeba! naumia roho
Twende another round
Around, inamia choo
Katakila whine, baby katakila whine
Kamanda umeniroga najisahau njiani
Kilomita run, baby kilo mia back!
Napenda ukichezesha, niongeze burudani
Give me love
Give me love
Camila give me love (Aah)
Give me love love love
Love, give me love
Give me love
Jamila give me love
Give me love, love love
Love, give me love

(Hey)
Vile unavyo chakarika, Unauwasha moto
Akili yangu inazima mama
Kidume me nataka shika
Vile una-bubble, ka-moyo kanababaika
Tena we unaipenda nikiikaba koo
Yale ma-design ya kutoa roho
Uno ulibeba! naumia roho
Twende another round
Around, around njoo
We unaipenda nikiikaba koo
Yale ma-design ya kutoa roho
Uno ulibeba! naumia roho
Twende another round
Around Inamia choo
Katakila whine, baby katakila whine
Kamanda umeniroga najisahau njiani
Kilomita run, baby kilo mia back!
Napenda ukichezesha niongeze burudani
Give me love
Give me love
Camila give me love (Aah)
Give me love, Love love
Love give me love
Give me love
Jamila give me love
Give me love, love Love
Love give me love
Katakila, katakila
Maa ndo umeni Ro-roga Naji
Kilometer, kilo mia
Napenda ukiche penda ukiche
Ongeza buru, ongeza burudani
Burudani
Katakila whine, baby katakila whine
Kamanda umeniroga najisahau njiani
Kilomita run, baby kilo mia back!
Napenda ukichezesha niongeze burudani
Katakila whine, baby katakila whine
Kamanda umeniroga najisahau njiani
Kilomita run, baby kilo mia back!
Napenda ukichezesha, niongeze burudani



Credits
Writer(s): Dalla Stains
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link