Ndoa

Azriel
It's Claton, baby
Mi sherehe kadhaa nimefika
Na Siwezi lie

Hii hapa niyakipekee
Hakika mumependeza siwezi ficha
Mnavyo shine
Wenye chuki wanapigwa teke

Hey, pongezi kwa baba (aayeh)
Pongezi kwa mama (aayeh)
Pongezi kwa kuwazaa (aayeh)
Ndo maana tupo hapa

Pongezi kwa wajomba (aayeh)
Shangazi zenu (aayeh)
Na sisi tumetinga hapa
Kuwatakia heri

Ndoa yenu ibarikiwe
Oh ibarikiwe dada
Mkithi mahitaji yenu yote
Sisi tunawaombea

Ndoa yenu ibarikiwe
(Ooh) mkithi mahitaji yenu yote
Oh mahitaji yote
Hakika ndoa ni baraka kubwa

Kutoka kwa mola
Anayepanga kijana na
Msichana waishi pamoja
Amepanga wawili

Kuwa mmoja mwili
Ashukuriwe Muumba
Wetu katunyeshea furaha kubwa
Hey, pongezi kwa baba (aayeh)

Pongezi kwa mama (aayeh)
Pongezi kwa kuwazaa (aayeh)
Ndo maana tupo hapa
Pongezi kwa wajomba (aayeh)

Shangazi zenu (aayeh)
Na sisi tumetinga hapa
Kuwatakia heri
Ndoa yenu ibarikiwe

Oh ibarikiwe dada
Mkithi mahitaji yenu yote
Sisi tunawaombea
Ndoa yenu ibarikiwe

(Ooh) Mkithi mahitaji yenu yote
Hii ndoa yenu
Ndoa yenu ibarikiwe
(Na Mungu) Mkithi mahitaji
yenu yote

(Muepushwe mabaya) Ndoa yenu.
Akina bahati mbaya
Marafiki wanafiki
Mkithi mahitaji yenu yote

Wazije wakabomoa
Ndoa yenu ibarikiwe
Mkithi mahitaji yenu yote
Ndoa yenu ibarikiwe

Mkithi mahitaji yenu yote



Credits
Writer(s): Josh Azriel
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link