Commercial

Yeah yeah yeah yeah

You wanna do the tango, you know
Wacha tuone angles, kiuno
Toka kitambo, mi nambari uno
Cheza piano, funga milango
Hii ni commercial (eh)
Commercial
Commercial (wapi)
Commercial
Hii ni commercial (ati nini)
Commercial
Commercial
Commercial

Nilipe wapi, Pay Bill ama Pochi
Twende wapi, BnB ama lodging
Nikulipe aje kodi, ama twende shopping
Sijui nianze wapi, jaba fegi ama nyongi
Ey point is, cash in cash out
Transaction moja safi increase body count
Hayuko njiana, amechill hapa couch
Nilituma fare ashafika by now
Ey we ni wa kuuza ama we ni kununua
We ni mali safi ama we ni kuchafua
Ushamake mind ama bado huko sure
Ju nikipata chance, mi nakuja kurarua
Pitisha hio kitu puff puff pass bana
Mamorio zimeshika wako high hadi Ghana
Highest in the room, nishafika bila ladder
Kuja na ruler ndio tupime hii banana

You wanna do the tango, you know
Wacha tuone angles, kiuno
Toka kitambo, mi nambari uno
Cheza piano, funga milango
Hii ni commercial (eh)
Commercial
Commercial (wapi)
Commercial
Hii ni commercial (ati nini)
Commercial
Commercial
Commercial

Ni kubaya jo, so nakazana bana
Niko duty, so nabeba ka pipe na langas
Sio lazima unauwo, mi niko haja
Ey DJ, cheza doba another banger (goddamn)
Nishalima kashamba
Kelele ni mingi, basi kaza kitanda
Skuizi mi hupiga shots bila matumbler
Ni day moja tu, bitch flani aliblanda
Itisha itisha mpaka waiter anashangaa
Pitisha maedible kabla hazijaanza
Maliza mpaka point huwezi ata lamba
Nishakusoma na nimemaliza chapter
Ka fanta, soda ya watoi wachanga
Mi sipendi hizi game za paka na panya
Hata kama, sherehe, shamra shamra
Denge ananishow vitu abra kadabra

Ey
Chill chill chill
Ok sawa
Yeah
Ah zii
Zii zii zii
Uuuum, eyo
Oh yeah

You wanna do the tango, you know
Wacha tuone angles, (yea-ah) kiuno
Toka kitambo, mi nambari uno
Cheza piano, (ooouuu) funga milango
You wanna do the tango, (whooo) you know
Wacha tuone angles, kiuno
Toka kitambo, mi nambari uno
Cheza piano, funga milango
Hii ni commercial (eh)
Commercial
Commercial (wapi)
Commercial
Hii ni commercial (ati nini)
Commercial
Commercial
Commercial (ah-ah)



Credits
Writer(s): Herbert Edukon
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link