Tembea Nami

This God is amaizing
Is amaizing
Ahhhh
Tembea nami baba
Maana mbele kiza sitoweza
Mbelekuna shimo baba
Nikiwa pekeyangu ntatelezaaa
Wametega na miba
Misumali
Ilinisivuke
Ila we Mungu
Ukiwanami nitapita
Kuwanawe nisalama
Kweli nisalama
Amani salama
Nitavuka baba
Tembea nami babaaaa(baba baba)
Tembea nami baba babaa(baba yangu we)
Utembee nami baba baba ba ba(baba baba)
Utembee nami usiniache pekeyangu
Nakwomba utembeee
Tembee nami
We baba tembeee
Utembee nami babaa
Ooooohhhh ooohh
Tembea nami
Usiniache pekeyangu nitashindwa tena
Ehhhhhh eeeeeehhhh
Wewe ndo ngaoyangu
Ukiniacha nitashindwa
Ooohhhh
Baba natembeakote nikwanguvuzako
Neno lako ndio nguvu yangu
Ukiniacha mwenyewe
Sitofika ngambo
Usiniache tembea nami
Ooohhhhooohhhh
Unilinde dhidi
Yamishale
Irukayo
Dhidiyangu babaa
Maana wewe ndio
Ngao yangu
Nakigaoo
Nakutegemea
Baba
Wametega na miba
Misumali
Ilinisivuke
Ila we Mungu
Ukiwanami nitapita
Kuwanawe nisalama
Kweli nisalama
Amani salama
Nitavuka baba
Tembea nami babaaaa(baba baba)
Tembea nami baba babaa(baba yangu we)
Utembee nami baba baba ba ba(baba baba)
Utembee nami usiniache pekeyangu
Nakwomba utembeee
Tembee nami
We baba tembeee
Utembee nami babaa
Ooooohhhh ooohh
Tembea nami
Usiniache pekeyangu nitashindwa tena
Ehhhhhh eeeeeehhhh
Wewe ndo ngaoyangu
Ukiniacha nitashindwa
Ooohhhh
Ooooohhhh ooohh
Tembea nami
Usiniache pekeyangu nitashindwa tena
Ehhhhhh eeeeeehhhh
Wewe ndo ngaoyangu
Ukiniacha nitashindwa
Ooohhhh



Credits
Writer(s): Smart Samwel
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link