Shakinah Glory

Utukufu wa mungu umeshuka
Na Jeshi la binguni liko hapa oooo
Ona malaika wako Hapa
Shakinah glory
Imeshuka
Utukufu wa mungu umeshuka
Na Jeshi la binguni liko hapa oooo
Ona malaika wako Hapa
Shakinah glory
Imeshuka
Wachilia utukufu wako (achilia utukufu wako)
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako (oo Shakinah)
Shakinah
Wachilia utukufu wako (Wachilia na nguvu zako)
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako (oo Shakinah)
Shakinah
Ufalme wake Mungu umekuja eeh
Na nguvu za miujiza tunahisi
Ooo nikama moto unaochoma
Shakinah glory Imeshukaa
Utukufu wa mungu umekuja ooo
Na nguvu za miujiza tunahisi eee
Oooh nikama moto
Unaochoma
Shakinah glory Imeshukaa
Wachilia utukufu wako (uuu achilia utukufu baba)
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako (oo Haleluyah)
Shakinah
Wachilia utukufu wako (Shakinah, Shakinah)
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako (oo Shakinah)
Shakinah
Waliofungwa wanawekwa huru eee
Nguvu za giza nazo zatoeka
Oohh uwepo wako waajabu
Shakinah glory Imeshukaa
Waliofungwa wanawekwa huru eee
Nguvu za giza nazo zatoeka
Uwepo wako waajabu
Shakinah glory Imeshukaa
Wachilia utukufu wako (uuu achilia utukufu baba)
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako (oo wachilia nguvu)
Shakinah
Wachilia utukufu wako (wachilia uponyaji wachilia uponyaji)
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako (wachilia uwepo)
Shakinah
Wachilia utukufu wako (ooo baba)
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako (wachilia utukufu wako)
Shakinah
Wachilia utukufu wako (ewe mueza)
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako
Shakinah
Umeketi kwenye kiti cha enzi
Shakinah glory
Achilia utukufu kutoka
Shakinah
Kitini chako cha enzi baba
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako
Shakinah
Wachilia utukufu wakooo baba



Credits
Writer(s): Esther Wahome
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link