Lunch Time

heah heah... haaaaa...
heah heah... haaaaaaa...
heah heah... aaa---aaa... aaaa

sikiliza nikwambie aaaahaaaa
sikiliza nikweleze aanhaaaa
mi sitaki tugombane kwa maneno yao
mi sitaki tuachane kwa maneno yao

sikiliza nikwambie aaaahaaaa
sikiliza nikweleze aanhaaaa
mi sitaki tugombane kwa maneno yao
mi sitaki tuachane kwa maneno yao

ona maneno mtaani yanasemwa sana
hawa ndugu zetu majirani hawapendi kutuona
wanasema meeengi nia yao tugombane
wanasema sikupendi wanataka tugombane



Credits
Writer(s): Omolo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link