Zilizopendwa

Kolo, kolola
Mama kolola, kolola
Kolo, kolola
Mama kolola, kolola

Embe dodo, embe dodo
Limelala mchangani
Embe dodo, embe dodo
Limelala mchangani

Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele

Kolo, kolola
Mama kolola, kolola
Kolo, kolola
Mama kolola, kolola

Embe dodo, embe dodo
Limelala mchangani
Embe dodo, embe dodo
Limelala mchangani

Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele

Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele

Kweli ajali haikingiki
Aisainipo, Mola mwenyewe
Kweli ajali haikingiki
Aisainipo, Mola mwenyewe

Ni chombo imara chenye thamani
Kilichopasishwa, Uingerezani
Kilinguruma Likoni, kikatiririka
Wale passenger wakafelea baharini
Dereva Kombo ungama, zako zimekwisha
Kwetu Mombasa jirani wazikwa shirika

Tuliona hivyo, kwaherini
Tuliona hivyo, kwaherini
Tuliona hivyo, kwaherini
Tuliona hivyo, kwaherini

Nilitoka kwako juzi
Nikitaka kukusabahi
Mamio, alinijibu
"Mwenzio hayuko katoka"
Nikamwuliza, "K'enda wapi?"
Akasema hajui vema
Nikipita vichochoroni
N'akukuta ukinywa chang'aa

Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa

Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa

Nilitoka kwako juzi
Nikitaka kukusabahi
Mamio, alinijibu
"Mwenzio hayuko katoka"
Nikamwuliza "K'enda wapi?"
Akasema hajui vema
Nikipita vichochoroni
Nakukuta ukinywa chang'aa

Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa

Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa

Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa

Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa

Chiriku kuna machozi
Mbali kule, kokotoni
Moyo hufanya manyezi
Ni kukosa kwa utunduni

Siku z'apita sina usingizi
Sina furaha moyoni
Kwa nilivyokuzoea
Kwa nilivyokuzoea
Kwa nilivyokuzoea

Chiriku kwa yako rangi
Ilivyoniingia moyoni
Nikienda mbali sishindi
Kukuacha pweke tunduni

Siku zapita sina usingizi
Sina furaha moyoni
Nakumbuka mazoea
Nakumbuka mazoea
Nakumbuka mazoea
Nakumbuka mazoea
Nakumbuka mazoea
Nakumbuka mazoea

Kina mama hoya!
Tunayo, hatunayo

Kolo, kolola
Mama kolola, kolola
Kolo, kolola
Mama kolola, kolola

Embe dodo, embe dodo
Limelala mchangani
Embe dodo, embe dodo
Limelala mchangani

Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele

Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe



Credits
Writer(s): John (desmond) Harrison
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link