Tam Tam

Willy, Willy, Willy (Willy Paul msafi)
Namba Nane Nane (Size 8)
Mmh, Alemba aliamua, oh-whoa oh, aliamua
Dj Mo akaamua, ah-whua ah, (Teddy B)

Dj Mo umempa ni wake, namba Nane (Size 8)
Krowbar ukampa ni wake Nana Nana Joy
Gloria Muliro ukampa ni wake Pastor Omba, eh, ah
Soxxy ukampa ni wake akamficha, eh
Dj Moz ukampa eh, mzungu, ah, eh
Nami nashindwa wangu Willy ni nani, eeh
Ama Mubukusu Mubukusu, ah, ah
Sijui kama yellow ama brown skin
Namba Nane nieleze kweli nimeshindwa

Unataka mke mwema? Ni nani atanipa?
Heh, unataka mke mwema? Oh, ni Mungu atakupa wewe
Nafahamu mapenzi kitamu tam tam tam, tena sana (tamu tena sana)
Unafahamu mapenzi kitamu, aah
Kitamu ooh ah, kitamu sio utani
Kitamu ooh ah, kitamu sio utani, aah

Tam tam tam
Tam tam tam
Tam tam tam

Tam tam tam tam
Tam tam tam
Tam tam tam, tam

Juzi nilikuona na kabinti, eh
Hakunipendeza, eh
Vazi lake No! (No), Willy No!

Nieleze siri ya mapenzi dada
Nieleze siri ya mapenzi namba Nane

Oh, Willy wewe Willy, usitafute wawili
Muombe Mwenyezi, usijitie kitanzi
Oh, ukisahau Mwenyezi, utajipiga mateke, eh, eh, eh
Utajipiga mateke

Unataka mke mwema? Ni nani atanipa?
Heh, unataka mke mwema? Oh, ni Mungu atakupa wewe
Nafahamu mapenzi kitamu tam tam tam, tena sana (tamu tena sana)
Unafahamu mapenzi kitamu, aah
Kitamu ooh ah, kitamu sio utani
Kitamu ooh ah, kitamu sio utani, aah

Tam tam tam
Tam tam tam
Tam tam tam

Tam tam tam tam
Tam tam tam
Tam tam tam, tam

Kweli nimekubali Jehova ndiye wakupeana mke mwema, ah
Ah, ah, ah, ah mke mwema, ah
Mmh Emmy naye, Mnaija
Uhuru naye, Maggie Maggie
Raila naye, Ida Ida
Kalonzo Musyoka, hatujui
Bishop Kiuna, Kathy
Pastor Laki, Wita
Na mimi naye wangu ni nani, ah

Unataka mke mwema? Ni nani atanipa?
Heh, unataka mke mwema? Oh, ni Mungu atakupa wewe
Nafahamu mapenzi kitamu tam tam tam, tena sana (tamu tena sana)
Unafahamu mapenzi kitamu, aah
Kitamu ooh ah, kitamu sio utani
Kitamu ooh ah, kitamu sio utani, aah

Tam tam tam
Tam tam tam
Tam tam tam

Tam tam tam tam
Tam tam tam
Tam tam tam

Tam tam tam tam
Tam tam tam
Tam tam tam

Tam tam tam tam
Tam tam tam
Tam tam tam, tam



Credits
Writer(s): Michel Polnareff, Jean Paul Dreau
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link