Hakika Mungu

Hakika Mungu ni mwema
Hakika Mungu ni mwema
Hakika Mungu ni mwema
Kwa walio safi moyoni

Atuondolea laana
Atuondolea magonjwa
Atuondolea mateso
Maana Yeye ni mwema

Hakika Mungu ni mwema
Hakika Mungu ni mwema
Hakika Mungu ni mwema
Kwa walio safi moyoni

Atuondolea upweke
Atuondolea unyonge
Atuondolea ufukara
Maana Yeye ni mwema

Hakika Mungu ni mwema
Hakika Mungu ni mwema
Hakika Mungu ni mwema
Kwa walio safi moyoni

Atuzidishia baraka
Atuzidishia neema
Atuzidishia upako
Maana Yeye ni mwema

Hakika Mungu ni mwema
Hakika Mungu ni mwema
Hakika Mungu ni mwema
Kwa walio safi moyoni



Credits
Writer(s): Sarah Kiarie
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link