Nijaposema Kwa Lugha

Nijapo sema kwa lugha
Za wanadamu na malaïka
Kama sinao upendo
Mimi si kitu kabisa
×2
Sifahi mbele za Bwana
Sifahi mbele za Bwana
Kama sinao upendo
Mimi si kitu kabisa
×2
Hata ni kiwa na imani
Ya ku amisha milima
Kama sinao upendo
Mimi si kitu kabisa
×2
Sifahi mbele za Bwana
Sifahi mbele za Bwana
Kama sinao upendo
Mimi si kitu kabisa
×2
Niki towa mali zangu
Kuwa lisha masikini
Kama sinao upendo
Mimi si kitu kabisa
×2
Sifahi mbele za Bwana
Sifahi mbele za Bwana
Kama sinao upendo
Mimi si kitu kabisa
×2
Upendo uvumiliya
Upendo hahu husuru
Upendo hahu jivuni
Hahu esabu mabaya
×2
Sifahi mbele za Bwana
Sifahi mbele za Bwana
Kama sinao upendo
Mimi si kitu kabisa
×2



Credits
Writer(s): Ya Vijana Choir
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link