Marina - Live

nimetuma wakusalimie
barua pia nimetuma usome
nikiwa nikitembea mara kwa mara ukumbuka mapenzi yetu vipi marina
mapenzi sio kitu kipya duniani kilianza na adamu na awa
nimetuma wakusalimie
barua pia nimetuma usome
nikiwa nikitembea mara kwa mara ukumbuka mapenzi yetu vipi marina
mapenzi sio kitu kipya duniani kilianza na adamu na awa eehh
kwa hila nimesafiri
uko umebakia
chunga mapenzi yetu
kwa simu tutaongeaaahh
mapenzi ya simu sitaweza
kama hunipendi uniambie
mimi bado ni murembo sitangoja
nikipenda naolewa ahh mie
mapenzi haichaguwi kabila
siku hizi muzungu muchaina uowana
japanese mwafrika vilevile eeehhh
mie marinaaahh

mapenzi ya simu sitaweza
kama hunipendi uniambie
mimi bado ni murembo sitangoja
nikipenda naolewa ahh mie
mapenzi haichaguwi kabila
siku hizi muzungu muchaina uowana
japanese mwafrika vilevile eeehhh
mie marinaaahh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabiaahh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahhh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabiaahh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahhh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabiaahh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahhh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabiaahh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahhh



Credits
Writer(s): samba mapangala
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link