Jipende

Usipojipenda utapendwa na nani
Fikiria jamani eeh
Usipojitaka utakikane na nani
Weka maanani hey
Confidence is a very fine dress
Wear it like a smile

Jipende mwenyewe
Na utapendeza aaah
Jipende mwenyewe
Na utapendeza aah aaaah

Usipojitunza, utatunzwa na nani
Uliza tafadhali, uliza tafadhali
Usipojikuza, utakuzwa na nani
Sio serikali
Confidence is a really fine dress
Wear it like a smile

Jipende mwenyewe
Na utapendeza aaah
Jipende mwenyewe
Na utapendeza aah aaaah
Umeumbwa, ukaumbika
Maumbile hakika

Jipende mwenyewe
Na utapendeza aaah
Jipende mwenyewe
Na utapendeza aah aaaah
Jipende mwenyewe
Na utapendeza aaah
Jipende mwenyewe
Na utapendeza aah aaaah



Credits
Writer(s): Benjamin Webi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link